TUTAM is the king of the ground while WANTAM is hotair spewed online idiots!
Chama cha UDA kimeshinda viti zote kwenye uchaguzi mdogo ambao umefanyika maeneo tofauti nchini.
Chama hicho kimeshinda kiti cha Mbunge wa Isiolo, pamoja na viti vitatu vya MCA katika Wadi ya Evurore na Wadi ya Muminji (Mbeere North), na Wadi ya West Kabras (Kaunti ya Kakamega)
Ushindi huu unaonyesha kuwa chama cha UDA bado kina nguvu kisiasa licha ya kuimarika kwa upinzani.