Interesting comment section on KTDA pudding tastes.
Korir Edwin
Hakuna siku utasaidia wakulima wa South Rift....How many times you have visited the area??
8h
Reply
Ncubiri Meme
Tea farmers are not happy with the current gava
6h
Reply
Sicely Wambeti
Gachagua alipigana na cartels ona sasa wamerudi
4h
Reply
Solomon Soloo Kibitok Chemos
Uongoooooo mbn watu wengine unafanyia 50 sh na the lowest one is 12. Shillings
9h
Reply
Kimtai Mckigen
Mkora wewe
Bob Rono
Wantam kora . You can't wait for a problem to occur then you appear to give a solution. Tumepita hapo
Alexis Kipz Nelson
The truth is we are uprooting our tea and do dairy farming. So president wasn't aware of the low pay and the other day walikuwa na directors..mchezo wa town
8h
Reply
Duke Ondieki
Sipendi gachagua,but he really tried during his time,chai ikaenda juu,kahawa ikakuwa sawa,nao mr Kelele ako tu hapo
6h
Reply
Sicheyot Cheruiyot
Cheating first consider mode of harvesting tea blending and inner shareholders greedy wanakula mpàka matumbo yao
8h
Reply
James Ruttoh
Walisema serikali imeboost ktda na pesa na hatuoni
7h
Reply
Mwalimu Jong PSv
Acha kutudanganya ni kama haukua unajua
5h
Reply
Nick Slaughter
Ongezea kila factory 20bob then we can talk otherwise jua wantam will be inevitable.
2h
Reply
Kevin Oriri
Lakini mbona unapenda uongo mdosi?
6h
Reply
Blessed Fei
Hii karate ya ktda,ni kama current tsc internship advert,but si ni life,bado nauza gas cylinders with free delivery guys
4h
Reply
Maria Nyamweya
Kumi bila break😏😏😏😏😏
8h
Reply
Chebet Jelsea
I think ktda ingejisimamia rather than government
2h
Reply
Geff Mwangemi
Baki nayo. Tushangoa chai ☕️
7h
Reply
Kevin Tonui
Na juzi alikuwa na directors state house just internalised low bonuses
1h
Reply
Lynnet Lynny
Come next yr utasikia amenyorosha ktda ndio apatiwe kura
5h
Reply
Shem Mokua
President can't know everything,yeye ni driver na makanga nyuma wako na warembo makahaba wengi wanaowafanya wezi,sasa send them home and give us money.
1h
Reply
Abdalla Macho
Twakupenda sana rais wetu daktari ruto mchapa KAZI musomi ,ameunganisha wakenya pamoja.maendeleo kila maeneo Hana ukabila.mungu akulinde rais wetu Kenya yetu izidi kusonga mbele inshaallah tutam 10 Bila break
5h
Reply
Muriithi Mass
Tea farmers hoiye, kaongo kumi
3h
Reply
Aywa Ashioya
😅😅wacheni mzee anyoroshe kampuni shida yenu ni nn
5h
Reply
Dennis Nyamweya
Hii ni game onajezwa hapa wakulima tudanywe eti itanyorosha maneno ndio mtu ajipatie kura hahahaha mjaaanja
6h
Reply
https://www.facebook.com/watch/?v=1298889295112165