Author Topic: Tumekataa  (Read 1391 times)

Offline Gumzo

  • Superstar
  • *
  • Posts: 196
  • Reputation: 234
Tumekataa
« on: December 27, 2016, 05:14:08 PM »
Alafu hii story ya watu wa Nairobi wakienda ocha kubeba paketi mbili za unga ngano na litre mbili za cooking oil then siku ya kurudi wanabeba 90kg ya mahindi,40kg ya maharagwe ,kuku mbili,viazi gunia,then wanaacha ksh 500. Sisi kama chama ya watu wa ocha tumekataa !!!! Hiyo hesabu haiingiani

Offline Kadudu

  • VIP
  • Enigma
  • *
  • Posts: 4475
  • Reputation: 1411
Re: Tumekataa
« Reply #1 on: December 27, 2016, 06:30:00 PM »
 :D :D :D :D :D