CHOZI LA DHULUMA
— Citizen TV Kenya (@citizentvkenya) August 19, 2020
Familia inalilia haki katika eneo la Moi's Bridge, Uasin Gishu
Isaac Kiplong anadai kudhulumiwa na kunyang'anywa ardhi
Kiplong sasa amelazimika kuishi katika hali ya mateso #SemaNaCitizen pic.twitter.com/f6qhtfTwFa