Nipate
Forum => Kenya Discussion => Topic started by: vooke on April 30, 2019, 11:12:32 AM
-
Wafanyakazi wanne wamekamatwa Kenya kwa kutuhumiwa kuiba mayai yenye thamani ya $25 kutoka shambani mwa naibu rais William Ruto, vyombo vya habari nchini vimenukuu maafisa wa polisi.
Uchunguzi umeidhinishwa baada ya msimamizi katika shamba hili lililopo huko Sugoi katika mkoa wa bonde la ufa kupiga ripoti kwamba kuna mayai yaliopotea, polisi
"Uchunguzi wetu wa awali umefichua kwamba wafanyakazi wanne wanaoishi ndani ya shamba hilo walihusika katika wizi huo lakini wote wamelikana hilo," afisa wa polisi katika eneo hilo Zachariah Bittok amenukuliwa na vyombo vya habari nchini.
https://www.bbc.com/swahili/habari-48101839
-
Difference between money earned and money stolen. The man will have you locked up for $25 but will throw away millions in tangatanga harambees.
-
Difference between money earned and money stolen. The man will have you locked up for $25 but will throw away millions in tangatanga harambees.
Quite apt
Not even Russian billionaire oligarchs or Saudi billionaire monarchs waste hard earned money like Ruto much as theirs is stolen. These at least add some value. Ruto is in outright theft