Nipate
Forum => Kenya Discussion => Topic started by: RV Pundit on May 21, 2022, 12:10:00 AM
-
Yaani the man has tried everything in Kirinyanga bado tu opinion poll - Ruto ako 80 percent.
Whole interior PS lakini nani - wamama wa kirinyanga wanamtoa na polisi yake.
Poor men of kirinyanga
Amepeleka sijui nini Thiba dam - maendeleo - bado watu wako kwa Ruto hawabanduki.
Invalid Tweet ID